• HABARI MPYA

  Tuesday, June 08, 2021

  KAMATI YA KOVA YAUAGIZA UONGOZI WA SIMBA KUMPELEKA MKUDE MUHIMBILI AKAFANYIWE VIPIMO VYA AFYA KABLA YA HUKUMU YAKE


  KAMATI ya Nidhamu ya klabu ya Simba imeuagiza uongozi wa Simba SC kumpeleka kiungo wake Jonas Gerald Mkude kufanyiwa vipimo vya afya kabla ya hukumu yake ya tuhuma za kinidhamu.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KAMATI YA KOVA YAUAGIZA UONGOZI WA SIMBA KUMPELEKA MKUDE MUHIMBILI AKAFANYIWE VIPIMO VYA AFYA KABLA YA HUKUMU YAKE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top