• HABARI MPYA

  Tuesday, June 15, 2021

  MESSI AFUNGA ARGENTINA YALAZIMISHWA SARE NA CHILE 1-1

  KATIKA Copa America, Lionel Messi usiku wa jana aliifunga kwa mpira wa adhabu Argentina dakika ya 33, kabla ya Eduardo Vargas kuisawazishia Chile dakika ya 57 timu hizo zikitoka sare 1-1 kwenye mchezo wao wa ufunguzi wa Kundi A Uwanja wa Nilton Santos Jijini Rio de Janeiro, Brazil.
  Mechi nyingine ilikuwa ya Kundi B na Colombia ikailaza Ecuador 1-0, bao pekee la Edwin Andres Cardona dakika ya 42 Uwanja wa Arena Pantanal Jijini Cuiaba, Mato Grosso.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MESSI AFUNGA ARGENTINA YALAZIMISHWA SARE NA CHILE 1-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top