• HABARI MPYA

  Monday, June 21, 2021

  UONGOZI WA YANGA SC WATAJA AJENDA 12 ZA MKUTANO WAKE WA JUNI 27 KUBWA KUPITIA MAPENDEKEZO YA MAREKEBISHO YA KATIBA

  UONGOZI wa Yanga SC umetaja ajenda 12 za Mkutano wake wa Juni 27 utakaofanyika ukumbi wa DYCCC, Chang’ombe, mkabala na Chuo cha DUCE Jijini Dar es Salaam.
  Miongoni mwa ajenda hizo ni kujaza nafasi za uongozi zilizoachwa wazi na kupitia mapendekezo ya marekebisho ya Katiba na taratibu za klabu.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: UONGOZI WA YANGA SC WATAJA AJENDA 12 ZA MKUTANO WAKE WA JUNI 27 KUBWA KUPITIA MAPENDEKEZO YA MAREKEBISHO YA KATIBA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top