• HABARI MPYA

  Saturday, June 19, 2021

  YANGA SC YAACHANA NA KOCHA WA TIMU YAKE YA WANAWAKE, EDNA LEMA ALIYEOMBA MWENYEWE KUJIUZULU KAZI PRINCESS


  KOCHA wa timu ya wanawake ya Yanga, Yanga Princess, Edna Lema amejiuzulu nafasi hiyo baada ya misimu mawili ya kuiongoza timu hiyo.
  Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na klabu hiyo leo, Lema aliomba kujiuzulu nafasi yake ya ukocha na uongozi wa timu hiyo umeridhia ombi hilo.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC YAACHANA NA KOCHA WA TIMU YAKE YA WANAWAKE, EDNA LEMA ALIYEOMBA MWENYEWE KUJIUZULU KAZI PRINCESS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top