• HABARI MPYA

  Sunday, June 27, 2021

  ITALIA NAYO YATINGA ROBO FAINALI EURO 2020 BAADA YA DAKIKA 120

  ITALIA imefanikiwa kwenda Robo Fainali ya Euro 2020 baada ya ushindi wa 2-1 dhidi ya Austria katika mchezo uliodumu kwa dakika 120 usiku huu Uwanja wa Wembley Jijini London na sasa watakutana na Ubelgiji au Ureno.
  Baada ya dakika 90 ngumu, Federico Chiesa aliifungia bao la kwanza Italia dakika ya 95, kabla ya Matteo Pessina kufunga la pili dakika ya 105 na Sasa Kalajdzic akaifungia la kufutia machozi Austria dakika ya 114.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ITALIA NAYO YATINGA ROBO FAINALI EURO 2020 BAADA YA DAKIKA 120 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top