• HABARI MPYA

  Monday, June 28, 2021

  TFF YASEMA MASHABIKI WAPYA 13782 NDIO WATAKAOUZIWA TIKETI KWA AJILI YA PAMBANO LA SIMBA NA YANGA JUMAMOSI

   SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limesema tiketi 13782 mpya ndizo zitauzwa kwa ajili ya mchezo wa watani wa jadi Jumamosi Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
  Hiyo ni kwa sababu sehemu nyingine imetengwa kwa ajili ya mashabiki waliokata tiketi kwa ajili ya mchezo ulioahirishwa Mei 8.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TFF YASEMA MASHABIKI WAPYA 13782 NDIO WATAKAOUZIWA TIKETI KWA AJILI YA PAMBANO LA SIMBA NA YANGA JUMAMOSI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top