• HABARI MPYA

  Tuesday, June 29, 2021

  ENGLAND YATINGA ROBO FAINALI EURO, YAICHAPA UJERUMANI 2-0

  ENGLAND imefanikiwa kwenda Robo Fainali ya Euro 2020 baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Ujerumani leo Uwanja wa Wembley Jijini London.
  Pongezi kwa wafungaji wa mabao hayo, Raheem Sterling dakika ya 75 akimalizia pasi ya Luke Shaw na Harry Kane dakika ya 86 akimalizia pasi ya Jack Grealish na sasa Three Lions itakutana na mshindi kati ya Sweden na Ukraine.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ENGLAND YATINGA ROBO FAINALI EURO, YAICHAPA UJERUMANI 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top