• HABARI MPYA

  Friday, June 04, 2021

  RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA NNE JAKAYA MRISHO KIKWETE AZINDUA UJENZI WA UWANJA WA KIKAPU KISARAWE UNAOFADHILIWA NA TORONTO RAPTORS

   RAIS Mstaafu wa awamu ya Nne. Jakaya Mrisho Kikwete, ambaye pia ni Mlezi wa Shirikisho la mpira wa kikapu Tanzania (TBF), akiwa katika uzinduzi wa mradi wa ujenzi wa uwanja wa kikapu, Minaki, Kisarawe mkoani Pwani.
  Mradi huo unafadhiliwa na Giants of Africa Foundation inayoongozwa na Masai Ujiri, Rais wa klabu bingwa ya Ligi ya Kikapu Marekani (NBA) msimu wa 2019, Toronto Raptors.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA NNE JAKAYA MRISHO KIKWETE AZINDUA UJENZI WA UWANJA WA KIKAPU KISARAWE UNAOFADHILIWA NA TORONTO RAPTORS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top