• HABARI MPYA

  Friday, June 11, 2021

  KMC YAICHAPA AZAM FC BAO 1-0 KATIKA MCHEZO WA KIRAFIKI ULIOFANYIKA CHAMAZI ASUBUHI YA LEO

   TIMU ya KMC imeibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Azam FC bao pekee la beki Mrundi, Suleiman Ndikumana kwa penalti katika mchezo wa kirafiki asubuhi ya leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KMC YAICHAPA AZAM FC BAO 1-0 KATIKA MCHEZO WA KIRAFIKI ULIOFANYIKA CHAMAZI ASUBUHI YA LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top