• HABARI MPYA

  Friday, June 04, 2021

  NYOTA WA PSG MUARGENTINA MAURO ICARDI ATINGA MBUGA YA SERENGETI KUTALII PAMOJA NA MKEWE

   MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Argentina, Mauro Emanuel Icardi anayechezea Paris Saint-Germain ya Ufaransa akiwa mapumziko katika Hifadhi ya Serengeti nchini Tanzania pamoja na mkewe Wanda Icardi, ambaye pia ni wakala wake.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NYOTA WA PSG MUARGENTINA MAURO ICARDI ATINGA MBUGA YA SERENGETI KUTALII PAMOJA NA MKEWE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top