• HABARI MPYA

  Wednesday, June 02, 2021

  YANGA SC YAMREJESHA MADARAKANI KATIBU MKUU WAKILI MSOMI SIMON PATRICK ALIYESIMAMISHWA NOVEMBA 8 MWAKA JANA

   KLABU ya Yanga SC imemrejesha katika nafasi yake, Katibu Mkuu Wakili Simon Patrick baada ya kubaini tuhuma zilizosababishwa asimamishwe Novemba 8 mwaka jana hazina ukweli.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC YAMREJESHA MADARAKANI KATIBU MKUU WAKILI MSOMI SIMON PATRICK ALIYESIMAMISHWA NOVEMBA 8 MWAKA JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top