• HABARI MPYA

  Thursday, June 10, 2021

  SIMBA NA YANGA B ZAGAWANA POINTI BAADA YA SARE YA 0-0 MECHI YA UFUNGUZI LIGI YA VIJANA U20 CHAMAZI

   WATANI wa jadi, Simba na Yanga wamegawana pointi baada ya sare ya 0-0 katika mchezo wa Kundi A, Hatua ya Nane Bora Ligi ya Vijana chini ya umri wa miaka 20 iliyoanza usiku wa leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam.
  Mechi ya ufunguzi ya kundi hilo, JKT Tanzania imeanza vyema baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Mwadui FC ya Shinyanga bao pekee la Said Kibada dakika 79 usiku wa leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA NA YANGA B ZAGAWANA POINTI BAADA YA SARE YA 0-0 MECHI YA UFUNGUZI LIGI YA VIJANA U20 CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top