• HABARI MPYA

  Monday, June 14, 2021

  NEYMAR AFUNGA BRAZIL YAICHAPA VENEZUELA 3-0 COPA AMERICA

  WENYEJI, Brazil usiku wa kuamkia leo wameichapa Venezuela 3-0, mabao ya Marquinhos dakika ya 23, Neymar kwa penalti dakika ya 64 na Gabriel Barbosa dakika ya 89 katika mchezo wa Kundi B Copa America Uwanja wa Taifa wa Brasilia.
  Leo Argentina wanatupa karata yao ya kwanza kwenye Copa America 2021 kwa kumenyana na Chile katika mchezo wa Kundi A Saa 6:00 usiku Uwanja wa Nilton Santos Jijini Rio de Janeiro, Brazil.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NEYMAR AFUNGA BRAZIL YAICHAPA VENEZUELA 3-0 COPA AMERICA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top