• HABARI MPYA

  Thursday, June 17, 2021

  YANGA SC YATINGA FAINALI LIGI YA VIJANA U20 BAADA YA USHINDI WA PENALTI 6-5 KUFUATIA SARE YA 1-1 NA AZAM FC LEO CHAMAZI

   YANGA SC imefanikiwa kwenda Fainali ya Ligi Kuu ya Vijana chini ya umri wa miaka 20 baada ya ushindi wa penalti 6-5 kufuatia sare ya 1-1 na Azam FC leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.


  Abdulkarim Yunus alianza kuifungia Yanga B dakika ya 69, kabla ya Ibrahim Issa kuisawazishia Azam Akademi dakika ya 86 na ndipo Watoto wa Jangwani wakaenda kukata tiketi ya Fainali kwenye matuta baada ya matokeo ya 1-1 kudumu ndani ya dakika 120.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC YATINGA FAINALI LIGI YA VIJANA U20 BAADA YA USHINDI WA PENALTI 6-5 KUFUATIA SARE YA 1-1 NA AZAM FC LEO CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top