• HABARI MPYA

  Friday, June 18, 2021

  UHOLANZI YAICHAPA AUSTRIA 2-0 NA KUTINGA 16 BORA EURO 2020

  UHOLANZI imeungana na Italia na Ubelgiji kuting hatua ya 16 Bora Euro 2020 baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Austria katika mchezo wa Kundi C Euro 2020 usiku wa Alhamisi Uwanja wa Johan Cruijff Arena Jijini Amsterdam.
  Mabao ya Uholanzi yanefungwa na mshambuliaji wa Lyon, Memphis
  Depay kwa penalti dakika ya 11 na beki wa PSV,  Denzel Dumfries dakika ya 67 na kwa ushindi huo wanafikisha pointi  sita na kuendelea kuongoza kundi kwa pointi tatu zaidi ya Ukraine na Austria, wakati Macedonia Kaskazini inashika mkia haina pointi.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: UHOLANZI YAICHAPA AUSTRIA 2-0 NA KUTINGA 16 BORA EURO 2020 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top