• HABARI MPYA

  Friday, June 11, 2021

  MSHAMBULIAJI MTANZANIA ADAM ADAM AANZA NA MOTO LIGI YA LIBYA, AFUNGA BAO KATIKA MECHI YAKE YA KWANZA TU BAADA YA KUSAJILIWA

  MSHAMBULIAJI Mtanzania, Adam Adam ameripotiwa kufunga bao katika mechi yake ya kwanza klabu yake mpya, Al Wehda dhidi ya Aschat kwenye Ligi Kuu ya Libya baada ya kusajiliwa wiki iliyopita akitokea JKT Tanzania ya nyumbani.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MSHAMBULIAJI MTANZANIA ADAM ADAM AANZA NA MOTO LIGI YA LIBYA, AFUNGA BAO KATIKA MECHI YAKE YA KWANZA TU BAADA YA KUSAJILIWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top