• HABARI MPYA

  Monday, June 28, 2021

  HISPANIA YAICHAPA CROATIA 5-1 NA KUTINGA ROBO FAINALI EURO 2020

  HISPANIA imekata tiketi ya Robo Fainali Euro 2020 baada ya ushindi wa 5-3 dhidi ya Croatia leo Uwanja wa Parken Jijini Copenhagen katika mchezo uliodumu kwa dakika 120 na sasa itakutana na Uswisi. 
  Mabao ya Hispania yamefungwa na Pablo Sarabia dakika ya 38, Azpilicueta dakika ya 57, Ferran Torres dakika ya 76, Alvaro Morata dakika ya 100 na Mikel Oyarzabal dakika ya 103, wakati ya Croatia yamefungwa na Pedri Lopez aliyejifunga dakika ya 20, Mislav Oršić dakika ya 85 na Mario Pašalić dakika ya 90 na ushei.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HISPANIA YAICHAPA CROATIA 5-1 NA KUTINGA ROBO FAINALI EURO 2020 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top