• HABARI MPYA

  Saturday, June 05, 2021

  BULLS ACADEMY WATWAA UBINGWA WA DAR YOUTH CUP WASICHANA U13, FEZA WASHIKA NAFASI YA PILI

   


  TIMU ya shule ya Bulls Academy imeibuka mshindi wa kwanza kwa upande wa wasichana chini ya umri wa miaka 13 katika michuano ya Dar Youth Cup 2021 inayofanyika kwenye Viwanja vya Gymkhana Jijini Dar es Salaam.

  Kwa upande wao, Feza wameibuka washindi wa pili kwenye michuano hiyo.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BULLS ACADEMY WATWAA UBINGWA WA DAR YOUTH CUP WASICHANA U13, FEZA WASHIKA NAFASI YA PILI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top