• HABARI MPYA

  Friday, June 18, 2021

  DAR ES SALAAM WATWAA UBINGWA WA UMITASHUMTA MICHUANO ILIYOFIKIA TAMATI LEO MJINI MTWARA

   JIJI la Dar es Salaam limetwaa ubingwa wa soka Mashindano ya Umoja wa Shule za Msingi Tanzania (UMITASHUMTA) 2021 iiyomalizika leo mkoani Mtwara.
  Akifunga mashindano hayo, Mgeni Rasmi Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Pauline Gekul, amewaomba wananchi kuendelea kutoa ushirikiano kama huo kwenye michezo ya UMISSETA inayotarajia kuanza Jumatatu Juni 21, 2021.

  *MATOKEO YA MASHINDANO YA UMITASHUMTA MWAKA 2021 MKOANI MTWARA.*

  _SOKA MAALUM_
  1. Njombe ✅ (Bingwa)
  2. Dsm
  3. Shinyanga

  SOKA WASICHANA
  1. Mwanza ✅ (Bingwa)
  2. Dsm
  3. Mara 

  _SOKA KAWAIDA_
  1. Dar es salaam ✅ (Bingwa)
  2. Mara
  3. Geita

  VOLLEYBALL WAVULANA
  1. Mwanza ✅ (Bingwa)
  2. Pwai
  3. Mara

  VOLLEYBALL WASICHANA
  1. Mtwara ✅(Bingwa)
  2. Mbeya
  3. Katavi

  HANDBALL WAVULANA
  1. Tanga ✅ (Bingwa)
  2. Mwanza
  3. Rukwa

  HANDBALL WASICHANA
  1. Mara ✅ (Bingwa)
  2. Morogoro
  3. Katavi

  NETBALL 
  1. Mwanza
  2. Mara
  3. Kigoma

  MPIRA WA GOLI (GOAL BALL) KWA WENYE UONI HAFIFU.

  WAVULANA:- 
  1. Morogoro ✅ (Bingwa)
  2. Rukwa
  WASICHANA
  1. Tanga ✅ (Bingwa)
  2. Morogoro

  RIADHA WAVULANA
  1. Simiyu ✅ (Bingwa) 
  2. Mara
  3. Manyara
  RIADHA WASICHANA
  1. Manyara ✅(Bingwa) 
  2. Mwanza
  3. Mara

  FANI ZA NDANI

  A. KWAYA
  1. Kagera ✅ (Bingwa)
  2.Kigoma
  3. Dsm

  B. NGOMA
  1. Tanga ✅ (Bingwa)
  2. Dsm
  3. Pwani

  USAFI NA NIDHAMU
  WAVULANA
         1. Morogoro
          2. Mara
          3. Tanga
  WASICHANA
           1. Mtwara
           2. Dodoma
           3. Manyara

  SANAA ZA MAONESHO 
  Mshindi wa Jumla Ni Mkoa wa Dar es salaam

  *BINGWA WA JUMLA UMITASHUMTA MWAKA 2021 NI Mkoa wa MARA .*
  *Wamekusanya Vikombe 9 wakiwaacha wenzao kwa mbali sana .......*
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DAR ES SALAAM WATWAA UBINGWA WA UMITASHUMTA MICHUANO ILIYOFIKIA TAMATI LEO MJINI MTWARA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top