• HABARI MPYA

  Wednesday, June 02, 2021

  ROBO FAINALI ZA LIGI YA VIJANA U20 KUANZA JUNI 10 HADI 19 CHAMAZI NA KUONYESHWA LIVE AZAM TV

  ROBO Fainali za Ligi ya Vijana U20 zinatarajiwa kuanza Juni 10 hadi 19 Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam na kuonyeshwa LIVE na chaneli mbalimbali za AzamTV.
  Timu zilizofuzu hatua hiyo ni pamoja na mabingwa watetezi, Mtibwa Sugar, Azam FC, JKT Tanzania, Kagera Sugar, Tanzania Prisons, Simba SC, Mwadui FC na Yanga. 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ROBO FAINALI ZA LIGI YA VIJANA U20 KUANZA JUNI 10 HADI 19 CHAMAZI NA KUONYESHWA LIVE AZAM TV Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top