• HABARI MPYA

  Friday, June 04, 2021

  MSHAMBULIAJI CHIPUKIZI MTANZANIA, ADAM ADAM ASAJILIWA NA KLABU YA LIGI KUU NCHINI LIBYA KUTOKA JKT

   MSHAMBULIAJI chipukizi wa kimataifa wa Tanzania,  Adam Adam,  amesajiliwa na klabu ya Al Wahda ya Ligi Kuu ya Libya kutoka JKT Tanzania ya nyumbani. 
  Adam mwenye umri wa miaka 24 anaondoka JKT Tanzania akiwa amefunga mabao saba katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara hadi sasa baada ya msimu uliopita kufunga mabao 13.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MSHAMBULIAJI CHIPUKIZI MTANZANIA, ADAM ADAM ASAJILIWA NA KLABU YA LIGI KUU NCHINI LIBYA KUTOKA JKT Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top