• HABARI MPYA

  Tuesday, June 08, 2021

  TAIFA STARS WANAVYOJIFUA KUJIANDAA KUIVAA MALAWI MECHI YA KIRAFIKI JUMAPILI BENJAMIN MKAPA


   WACHEZAJI wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars wakiwa mazoezini jioni ya leo Uwanja wa JMK Park, eneo la Gerezani Jijini Dar es Salaam kujiandaa na mchezo wa kirafiki wa Kimataifa dhidi ya Malawi Jumapili Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TAIFA STARS WANAVYOJIFUA KUJIANDAA KUIVAA MALAWI MECHI YA KIRAFIKI JUMAPILI BENJAMIN MKAPA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top