• HABARI MPYA

  Wednesday, June 30, 2021

  KARIA KUGOMBEA URAIS WA TFF BILA MPINZANI BAADA YA WAGOMBEA WENGINE WOTE WAWILI KUENGULIWA KWENYE USAILI

   

  RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace John Karia atatetea nafasi yake bila upinzani katika uchaguzi uliopangwa kufanyika Agosti 7 Jijini Tanga.
  Hiyo ni baada ya wapinzani wake wote wawili waliobaki kuenguliwa katika usaili uliofanyika Juni 25. mwaka huu Dar es Salaam.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KARIA KUGOMBEA URAIS WA TFF BILA MPINZANI BAADA YA WAGOMBEA WENGINE WOTE WAWILI KUENGULIWA KWENYE USAILI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top