• HABARI MPYA

  Monday, June 21, 2021

  RASMI TFF YATHIBITISHA TIMU NNE ZITASHIRIKI MICHUANO YA AFRIKA MSIMU UJAO, MBILI LIGI YA MABINGWA NA MBILI KOMBE LA SHIRIKISHO

   RASMI, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limesema timu nchini zitashiriki michuano ya Afrika mwakani, mbili Ligi ya Mabingwa na mbili Kombe la Shirikisho.
  Bingwa na mshindi wa pili wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara moja kwa moja watacheza Ligi ya Mabingwa, wakati mshindi wa tatu na bingwa wa Kombe la TFF, maarufu kama Azam Sports Federation Cup ( ASFC) watacheza Kombe la Shirikisho.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RASMI TFF YATHIBITISHA TIMU NNE ZITASHIRIKI MICHUANO YA AFRIKA MSIMU UJAO, MBILI LIGI YA MABINGWA NA MBILI KOMBE LA SHIRIKISHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top