• HABARI MPYA

  Tuesday, April 02, 2024

  NAMUNGO YATINGA ROBÓ FAINALI CRDB CUP KWA MATUTA


  TIMU ya Namungo FC imefanikiwa kutinga Robó Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano ambayo sasa inajulikana kama CRDB Federation Cup baada ya ushindi wa penalti 5-3 dhidi ya Kagera Sugar kufuatia sare ya bila kufungana ndani ya dakika 90 leo Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NAMUNGO YATINGA ROBÓ FAINALI CRDB CUP KWA MATUTA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top