• HABARI MPYA

  Tuesday, October 31, 2023

  BALOZI WA UINGEREZA AHUDHURIA MAZOEZI YANGA SC


  RAIS wa Yanga SC, Hersi Said akimkabidhi zawadi ya Jezi ya Mabingwa hao wa kihistoria wa Tanzania, Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, David Concar iliyosainiwa na wachezaji pamoja na benchi la ufundi leo Jijini Dar es Salaam.
  Baadaye Balozi huyo alitembelea mazoezi ya timu hiyo Uwanja wa Avic Town, Kigamboni Jijini Dar es Salaam kuelekea pambano Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara dhidi ya watani wao wa jadi, Simba SC Jumapili Uwanj wa Benjamín Mkapa Jijini Dar es Salaam.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BALOZI WA UINGEREZA AHUDHURIA MAZOEZI YANGA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top