• HABARI MPYA

  Tuesday, October 31, 2023

  IBRAHIM MAO AIUA MTIBWA UHURU, KMC YANG’ARA LIGI KUU


  BAO pekee la Ibrahim Mao dakika ya 15 limetosha kuipa KMC ushindi wa 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.
  Kwa ushindi huo, KMC inafikisha pointi 15 katika mchezo wa nane na kupanda nafasi ya tatu, wakati Mtibwa Sugar inabaki na pointi zake tano ikiendelea kushika mkia katika Ligi y timu 16 baada ya wote kucheza mechi nane.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: IBRAHIM MAO AIUA MTIBWA UHURU, KMC YANG’ARA LIGI KUU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top