• HABARI MPYA

  Thursday, October 19, 2023

  MAREFA WA MECHI ZA SIMBA DHIDI YA PRISONS NA SINGIDA WAFUNGIWA


  MAREFA waliochezesha mechi za Simba SC za ugenini dhidi ya Tanzania Prisons Jijini Mbeya na Singida Big Stars mkoani Singida wameondolewa kwenye orodha ya waamuzi wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara kwa mizunguko mitano kutokana maamuzi yao mabovu.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAREFA WA MECHI ZA SIMBA DHIDI YA PRISONS NA SINGIDA WAFUNGIWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top