• HABARI MPYA

  Friday, October 13, 2023

  JONÁS MKUDE MAZOEZINI LEO YANGA IKIJIANDAA KUIVAA AZAM FC


  KIUNGO Jonás Mkude akiwa mazoezini leo Uwanja wa Avic Town, Kigamboni Jijini Dar es Salaam Yanga ikijiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Azam FC Oktoba 25, mwaka huu.
  PICHA: WACHEZAJI WA YANGA SC MAZOEZINI LEO KIGAMBONI 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: JONÁS MKUDE MAZOEZINI LEO YANGA IKIJIANDAA KUIVAA AZAM FC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top