• HABARI MPYA

  Monday, October 30, 2023

  KAGERA SUGAR YALAZIMISHWA SARE YA BILA MABAO NA TABORA UNITED KAITABA


  WENYEJI, Kagera Sugar wamelazimishwa sare ya 0-0 na Tabora United katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba.
  Kwa sare hiyo, Kagera Sugar wanafikisha pointi tisa na kusogea nafasi ya nane, wakati Tabora United inafikisha pointi 10 na kupanda nafasi ya saba baada ya wote kucheza mechi nane.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KAGERA SUGAR YALAZIMISHWA SARE YA BILA MABAO NA TABORA UNITED KAITABA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top