• HABARI MPYA

  Saturday, October 21, 2023

  ARSENE WENGER AJUMUIKA NA WACHEZAJI WA SIMBA SC


  MKUU wa Idara ya Maendeleo ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), Mfaransa Arsene Wenger akiwa na kiungo Sadio Kanoute kutoka Mali, mfungaji wa bao la pili la Simba SC jana katika sare ya 2-2 na Al Ahly ya Misri Uwanja wa Benjamin kwenye mchezo wa ufunguzi wa Ligi ya Afrika (AFL).
  Wenge, kocha wa zamani wa Arsenal alikuwa nchini kwa ajili ya kushuhudia ufunguzi wa michuano ya Ligi ya Afrika (AFL) inayofanyika kwa mara ya kwanza tangu kuanzishwa kwa ushirikiano wa FIFA na CAF. 
  VIDEO: ARSENE WENGER NA WACHEZAJI WA SIMBA SC

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENE WENGER AJUMUIKA NA WACHEZAJI WA SIMBA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top