• HABARI MPYA

  Monday, October 30, 2023

  DODOMA JIJI YAICHAPA JKT TANZANIA 1-0 AZAM COMPLEX


  BAO pekee la Paul Peter dakika ya 71 limeipa Dodoma Jiji FC ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam. 
  Kwa ushindi huo, Dodoma Jiji FC wanafikisha pointi 12 na kupanda nafasi ya nne, wakati JKT inayobaki na pointi zake 11 pia inashukia nafasi ya sita ikizidiwa 
  baada ya wote kucheza mechi nane.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DODOMA JIJI YAICHAPA JKT TANZANIA 1-0 AZAM COMPLEX Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top