WENYEJI, Dodoma FC wamelazimishwa sare ya bila kufungana na Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma.
Kwa matokeo hayo, Azam FC inafikisha pointi 10 katika mchezo wa nne na kupanda mwa Ligi Kuu ikizizidi pointi moja moja zote Simba na Yanga ambazo zimecheza mechi tatu kila moja.
Kwa upande wao, Dodoma Jiji FC wanafikisha pointi tano katika mchezo wa nne.
0 comments:
Post a Comment