• HABARI MPYA

  Monday, October 16, 2023

  NYOTA TAIFA STARS WAENDA KUFANYA IBADA YA UMRAH MAKKA


  WACHEZAJI wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, mshambuliaji na Nahodha Mbwana Samatta (kulia) akiwa na beki Abdi Banda (kushoto) wakiwa na Kocha Mualgeria, Adel Amrouche katika msikiti mtukufu wa Makkah, Saudi Arabia kwa ajili ya ibada ya Umrah.
  Wachezaji kadhaa wa Taifa Stars ambao ni waumini wa dini ya Kiislam walikwenda Makka baada ya mchezo wa kirafiki wa Kimataifa dhidi ya Sudan nchini humo jana uliomalizika kwa timu hizo kutoa sare ya 1-1.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NYOTA TAIFA STARS WAENDA KUFANYA IBADA YA UMRAH MAKKA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top