• HABARI MPYA

  Monday, October 23, 2023

  NYOTA WA SIMBA SC KRAMO AFANYIWA UPASUAJI TUNISIA


  WINGA wa kushoto Muivory Coast wa Simba SC, Aubin Kramo Kouamé amefanyiwa upasuaji wa goti katika Hospitali ya El Yosr Internationale Sousse nchini Tunisia. 
  Aubin Kramo Kouamé amesajiliwa msimu huu Simba SC kutoka ASEC Mimosas ya kwao, Ivory Coast lakini kutokana na kuandamwa na maumivu ameshindwa kupata fursa ya kuonyesha makali yake nchini.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NYOTA WA SIMBA SC KRAMO AFANYIWA UPASUAJI TUNISIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top