• HABARI MPYA

  Thursday, October 05, 2023

  KMC YATOA KOCHA BORA NA MCHEZAJI BORA LIGI KUU SEPTEMBA


  TIMU ya KMC ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam imetoa Kocha Bora, Abdihamid Moalin na Mchezaji Bora, Waziri Junior Shentembo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara kwa mwezi Septemba 2023.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KMC YATOA KOCHA BORA NA MCHEZAJI BORA LIGI KUU SEPTEMBA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top