BAO pekee la mshambuliaji Edward Songo dakika ya 80 limeipa JKT Tanzania ushindi wa 1-0 dhidi ya Mashujaa FC ya Kigoma katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC leo Uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga.
Ushindi huo unaifanya JKT Tanzania ifikishe pointi saba, wakati Mashujaa inabaki na pointi zake nane baada ya wote kucheza mechi tano.
0 comments:
Post a Comment