• HABARI MPYA

  Wednesday, October 25, 2023

  DODOMA JIJI YAILAZA KAGERA SUGAR 1-0 JAMHURI


  BAO pekee la Christian Zigah dakika ya 40 limeipa Dodoma Jiji FC ushindi wa 1-0 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma.
  Kwa ushindi huo, Dodoma Jiji FC wanafikisha pointi tisa na kusogea nafasi ya tano, wakati Kagera Sugar inabaki na pointi zake nane nafasi ya nane baada ya wote kucheza mechi saba.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DODOMA JIJI YAILAZA KAGERA SUGAR 1-0 JAMHURI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top