• HABARI MPYA

  Wednesday, October 18, 2023

  KAKOLANYA MCHEZAJI BORA WA MWEZI SINGIDA BIG STARS


  KIPA Beno David Kakolanya ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi Septemba wa klabu ya Singida Big Stars na kuzawadiwa kitita cha Sh. Milioni 1 kutoka kwa wadhamini, kampuni ya JET & Sons.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KAKOLANYA MCHEZAJI BORA WA MWEZI SINGIDA BIG STARS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top