• HABARI MPYA

  Thursday, October 19, 2023

  BANGALA AANZA MAZOEZI AZAM FC AWAKABILI YANGA JUMATATU CHAMAZI


  KIUNGO Mkongo, Yanick Litombo Bangala (kulia) akiwa kwenye mazoezi ya Azam FC jana ikijiandaa na kuikabili Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara Jumatatu Saa 12:30 jioni Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam.
  PICHA: AZAM FC WAKIWA MAZOEZINI CHAMAZI
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BANGALA AANZA MAZOEZI AZAM FC AWAKABILI YANGA JUMATATU CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top