• HABARI MPYA

  Saturday, October 14, 2023

  DIARRA NA AUCHO BAADA YA MALI KUICHAPA UGANDA 1-0 JANA BAMAKO


  KIPA wa Mali, Djigui Diarra (kushoto) na kiungo wa Uganda, Khalid Aucho ambao wote ni wachezaji wa klabu ya Yanga baada ya mechi ya kirafiki baina ya timu zao za taifa jana Uwanja wa Machi 26 Jijini Bamako nchini Mali ambayo wenyeji walishinda 1-0.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DIARRA NA AUCHO BAADA YA MALI KUICHAPA UGANDA 1-0 JANA BAMAKO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top