• HABARI MPYA

  Monday, October 09, 2023

  NIC YAINGIA MKATABA NA YANGA MILIONI 900 KUDHAMINI TUZO YA MCHEZAJI BORA


  KAMPUNI ya NIC Insurance imeingia mkataba wa miaka mitatu na klabu ya Yanga wa kudhamini Tuzo za Mchezaji Bora wa Mwezi wa timu hiyo wenye thamani ya Shilingi Milioni 900 kwa kipindi chote hicho.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NIC YAINGIA MKATABA NA YANGA MILIONI 900 KUDHAMINI TUZO YA MCHEZAJI BORA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top