• HABARI MPYA

  Sunday, October 29, 2023

  RAIS WA HESHIMA MO DEWJI AUNDA ‘SERIKALI MPYA’ SIMBA SC


  RAIS wa Heshima wa Simba, Mohamed ‘Mo’ Dewji ameunda Baraza jipya la Ushauri la klabu chini ya Mwenyekiti Jaji Thomas Mihayo na Wajumbe 20, wakiwemo Marais wa zamani wa klabu hiyo Alhaj Ismail Aden Rage na Evans Elieza Aveva.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RAIS WA HESHIMA MO DEWJI AUNDA ‘SERIKALI MPYA’ SIMBA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top