• HABARI MPYA

  Sunday, October 01, 2023

  SINGIDA BIG STARS SHUGHULI YAO IMEISHIA MISRI


  TIMU ya Singida Big Stars imetupwa nje ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kufungwa mabao 4-1 na wenyeji, Modern Future katika mchezo wa marudiano Hatua ya 16 leo Uwanja wa WE Al-Ahly mjini Cairo nchini Misri.
  Singida Big Stars inatolewa kwa kichapo cha jumla cha mabao 4-2 kufuatia kushinda 1-0 kwenye mchezo wa kwanza wiki mbili zilizopita Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SINGIDA BIG STARS SHUGHULI YAO IMEISHIA MISRI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top