• HABARI MPYA

  Thursday, October 19, 2023

  MWONEKANO MPYA UWANJA WA MKAPA KUELEKEA UFUNGUZI AFL KESHO


  MWONEKANO wa benchi la wachezaji wa akiba baada ya ukarabati uliofanywa Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam kuelekea ufunguzi wa michuano ya Ligi ya Soka Afrika (AFL) kesho kwa mchezo baina ya wenyeji, Simba SC na Al Ahly ya Misri,
  VIDEO: MWONEKANO WA UWANJA WA BENJAMIN MKAPA BAADA YA UKARABATI
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MWONEKANO MPYA UWANJA WA MKAPA KUELEKEA UFUNGUZI AFL KESHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top