• HABARI MPYA

  Wednesday, October 04, 2023

  WAZIRI MKUU AKABIDHI SH MILIONI 500 ZA TAIFA STARS KUFUZU AFCON


  WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akimkabidhi Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia hundi ya Shilingi Milioni 500 zawadi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan kwa timu ya taifa, Taifa Stars kwa kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) mwakani nchini Ivory Coast. Anayeshuhudia katikati ni  Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Damas Ndumbaro. 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WAZIRI MKUU AKABIDHI SH MILIONI 500 ZA TAIFA STARS KUFUZU AFCON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top