• HABARI MPYA

  Sunday, October 15, 2023

  TAIFA STARS YATOA SARE 1-1 NA SUDAN LEO SAUDIA ARABIA  TIMU ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars imetoa sare ya 1-1 na Sudan katika mchezo wa kirafiki wa Kimataifa leo Uwanja wa King Fahd Sports City mjini Ta'if, Saudi Arabia.
  Sudan ilitangulia kwa bao la mshambuliaji wa Al Hilal, Musab Ahmed Alsharif Eisa dakika ya saba, kabla ya kiungo wa Azam FC, Sospeter Israel Bajana kuisawazishia Tanzania dakika ya 40.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TAIFA STARS YATOA SARE 1-1 NA SUDAN LEO SAUDIA ARABIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top