• HABARI MPYA

  Saturday, October 07, 2023

  KMC YAIZIMA IHEFU SC 1-0 UHURU BAO PEKEE LA IBRAHIM ELIAS


  BAO pekee la Ibrahim Elias dakika ya 58 limeipa KMC ushindi wa 1-0 dhidi ya Ihefu SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.
  Kwa ushindi huo, KMC inafikisha pointi 10 na kusogea nafasi ya nne, wakati Ihefu SC inabaki na pointi zake sita nafasi ya nane baada ya wote kucheza mechi tano.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KMC YAIZIMA IHEFU SC 1-0 UHURU BAO PEKEE LA IBRAHIM ELIAS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top