• HABARI MPYA

  Thursday, October 19, 2023

  KOUASSI ATTOHOULA YAO MAZOEZINI YANGA IKIJIANDAA KUIVAA AZAM


  BEKI wa kulia wa Yanga, Muivory Coast Kouassi Attohoula Yao akiwa mazoezini jana Uwanja wa Avic Town, Kigamboni Jijini Dar es Salaam timu hiyo ikijiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara dhidi ya Azam FC Jumatatu kuanzia Saa 12:30 jioni Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KOUASSI ATTOHOULA YAO MAZOEZINI YANGA IKIJIANDAA KUIVAA AZAM Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top