• HABARI MPYA

  Monday, October 09, 2023

  JKT QUEENS YAPANGWA NA MAMELODI LIGI YA MABINGWA AFRIKA


  TIMU ya JKT Queens imepangwa Kundi A katika Ligi ya Mabingwa Afrika Wanawake pamoja na wenyeji, Athletico FC d’Abidjan ya Ivory Coast, Sporting Casablanca ya Morocco na Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini.
  Kundi B linaundwa na mabingwa watetezi, AS FAR ya Morocco, Ampem Darkoa ya Ghana, Huracanes FC ya Equatorial Guinea na AS Mande ya Mali.
  Michuano hiyo itaanza Novemba 5 hadi 19 mechi zikichezwa viwanja vya Laurent Pokou Jijini San Pedro na Amadou Gon Coulibaly Jijini Korhogo.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: JKT QUEENS YAPANGWA NA MAMELODI LIGI YA MABINGWA AFRIKA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top